Wenzetu walibya umeme, maji na elimu ngazi zote bure lakini wanaandamana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenzetu walibya umeme, maji na elimu ngazi zote bure lakini wanaandamana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Mar 3, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndiyo hivyo jamani! Wenzetu huduma zote hizo ni bure na bwerere lakini bado wanaingia mitaani kwa maandamano. Kwa upande wetu pamoja na kutokuwepo kwa uhakika wa upatikanaji wake, huduma hizo tunauziwa kwa bei ghali. Lakini kama kawaida yetu tunaishia kulalamikia tumboni tu.
   
 2. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,298
  Likes Received: 2,121
  Trophy Points: 280
  wapuuzi wale wa libya mamechoka kula good time acha gadaf awachakaze tuu! hatuna cha kujifunza toka kwao! na hapa mkiendelea kuleta chokochoko ndo mtajua kama hii nchi ina amir jeshi mkuu!
   
 3. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesema kweli tupu. Asante mkuu
   
 4. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Amiri Jeshi mkuu wako ana jeshi kubwa lenye vifaa vingi vya kisasa kuliko Hosin Mubarak? Au unataka kutuambia ana uchu wa madaraka na roho mbaya kuliko Gadaffi?
   
 5. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Join Date : 22nd November 2009
  Posts : 205
  Thanks: 14 Thanked 27 Times in 19 Posts
  Rep Power : 22


  Du toka ujiunge ni post hizo tu?
  Unaonekana una maisha magumu lakini bado unawashabikia walioshindwa kuongoza nchi!
   
 6. Mpenda Kwao

  Mpenda Kwao Senior Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Eee Mungu tufungue macho na akili tuweze kuwa na upeo wa kutathmini uongozi uliopo madarakani tuachane na unazi wa kisiasa kama mwenzetu huyu anavyothibitisha.
  Mods!!
  If our motto of "Home of Great Thinkers" is being tempered with could please take the necessary action???
  Kwani sasa hivi hata asiyejua chochote anaelewa fika kuwa something is not right somewhere with this rulling govenment.
  Anayetetea saana aseme kitu kimoja tu ambacho serikali hii tutaishukuru kwa kuwa kwake madarakani. Issue moja tu? Asiseme amani ambayo CCM wamezoea kuikimbilia sababu watu kuwa kimya sio kuwa na amani.
   
 7. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Mpuuzi mkubwa wewe! Unadhani uamiri jeshi mkuu ni wa kupiga mabomu wananchi wako!! Watu wengine mna akili za panzi. Kama jk amekutuma mwambie ajaribu aone cha mtema kuni. Atajuta kwa nini aliutafuta urais.
   
 8. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Unataka tufanye nini?Binadamu huwa hatosheki toka kuumbwa mpaka mfumo wa maisha unavyomuendea.Akipata Nyumba,anataka gari,akishapata anataka biashara,akishapata atataka cheo na mengineyo mengi.Ni wachache huwa wanasema mungu sasa basi.Tazama Bakhressa ndio,ametoa ajira lakini pia pamoja na pesa alizonazo anauza ice cream mpaka kwa mtumiaji wa mwisho kiasi cha kusababisha wenye kipato cha chini kushindwa kufanya ushindani nae.Nashukuru wana-Uchumi wa kale walisema "Economic goods are scarce due to unlimited wants of human being".Hivyo walibia pamoja na kupata vyote bado wanacho kihitaji labda "peace of mind"from Gaddaf regime.
   
 9. C

  Chilambo Moh New Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani sie wa Tz amani ni spirit ye2 iko moyoni kwayo hatuwez kufanya kama ya libya...ila tuombe yatafika mwisho.
   
 10. M

  Micho Senior Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wajinga ndio waliwao....
   
 11. M

  Micho Senior Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hujui unachokisema...sisi ni worse kuliko Libya...omba Mungu serikali irekebishe matatizo yake soon....maana tutajuta kuitwa watanzania....tusiombe jamani hali imekuwa mbaya....
   
 12. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Labda amir nyeti mkuu.
   
 13. W

  WildCard JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Utajiri Ghadhafi na ndugu zake unaufahamu? Kijana wake mmoja alifanya birthday yake akamwalika yule binti mwanamuziki kufanya onesho la muda mfupi tu kwa mamilioni ya dola. Hili suala la maji, umeme, elimu na hata kuozwa mke mbona ni masuala madogo tu kwa mafuta ya Libya!
   
 14. k

  kamoi New Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaosifia utawala huu kuna jinsi wanavyo faidika wao binafisi/ wazazi wao/ ndugu wa karibu na mfumo uliopo. Kwa ujumla kuna umafia wa watenda maovu ambao pia wameteka taasisi za umma kiasi zinashindwa kufanya kazi kwa misingi ya sheria. Wamejiingiza katika siasa na kamati mbali mbali kutetea matakwa yao.
   
 15. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mkuu WildCard Kipi ambacho gold, diamond, national parks, lakes, rivers etc kimefanya kwa Tanzania???
  Nigeria hawana mafuta???

  Libya wanalilia uhuru wa kuongea ingawa wanauhuru wa kiuchumi.
  Sisi tuna uhuru wa kuongea 999% wakati uchumi -999%. Yupi ana nafuu??
   
Loading...