Recent content by Kamkulu

  1. K

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Mkuu mimi nina tatizo kama hilo Nimefanya malipo kupitia mpesa 23 Jun na kila nikijaribu Napata "We are sorry that the Transaction ID you provided does not exist in our system. Kindly make a payment though M-PESA and try again"
  2. K

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Wadau naomba msaada. Wiki imeisha tangu nilipolipia lakini bado sijafanikiwa ku-register ili nikamilishe mchakato wa kuomba mkopo. Help desk haipatikani na siku zinasha. Kuna chochote nachoweza kufanya niweze ku-meet deadline?
  3. K

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Ahsante kaka. Hii nimeinunua Mwanza. Nami nipo Mwanza
  4. K

    Aljazeera sport 1,2,3,4....10

    Naomba kufahamu iwapo kadi nahitaji kadi tu ya aljazeera bila decoder ni sh. ngapi?
  5. K

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Wadau nina HUMAX 2020. Nimefungiwa na fundi mmoja na inapata AD Sports zote safi. Fundi huyu hayupo tayari kuniwezesha kupata card ya Aljazeera Sport na vile vile kunijuza ni vipi naweza kurenew ad sports subscription. Tafadhali nisaidie.
Back
Top Bottom