Recent content by KAMJINGJING

  1. KAMJINGJING

    Naomba ushauri tiba asili ya tonsils maana hospitali nimefeli kupata dawa ya kudumu

    Nenda hospital zilizospecialize kwa ENT watampima kama ni kuzitoa (tonsillectomy) watakwambia, na zikitolewa utaishi kwa raha sana bila maudhi
  2. KAMJINGJING

    Wapi nitapata matibabu ya tonsils sugu?

    Samahani ndg zangu nilikuwa nje ya mji kidogo. Kuhusu tonses kama zimevimba na zinakusumbua sana basi dawa yake ni kuzitoa kwa kufanyiwa operation. Binafsi nilikuwa nazo na nikafanyiwa operation kwenye hospital moja iko pale magomeni mwembe chai inaitwa EKENYWA. wao wamespecialize kwenye ENT...
  3. KAMJINGJING

    Wapi nitapata matibabu ya tonsils sugu?

    Vip ndg ulishapata matibabu ya tonses? Kama ndio sawa lkn kama bado pia sema ili nikuelekeze chakufanya!
Back
Top Bottom