Matumizi yake ni pale ajira zikitoka mkuu wako wa shule yeye atapeleka jina lako manispaa moja kwa moja then wao wataangalia kwenye data zao kama kweli ulikuwa unajitolea na kama wanakutambua wakikuta hito barua ambayo kopi yake ulipewa basi ajira yako wewe ni moja kwa moja..unapewa kipaumbele...
Barua hiyo ni ya kukutambua kwamba unajitolea katika shule fulani , unachotakiwa kufanya ni kuandika barua ya kuomba kujitolea kwenye shule husika yani kwa mkuu wa shule then ipite kwa afisa elimu na mwisho kwa mkurugenzi ,utaipeleka manispaa wao watakupa barua ya utambulisho kutoka kwa mkurugenzi.
Najijibu mwenyewe kwa faida ya wengine,nimetoka Halmashauri ya jiji ,mkurugenzi ametoa taarifa kwamba ajira za mkataba hazijaanza kutolewa lakini wanashauri watu wajitolee ili upate barua ya utambulisho kutoka kwao.
Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi.
Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.