Recent content by Kambeka

  1. Kambeka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara ni msingi
  2. Kambeka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa mwl aliyekuapo Tanga kati ya wilaya zifuatazo Tanga jiji , Tanga vijijini, Pangani, Korogwe mjini na Mkinga aje Dodoma Wilaya ya Chemba mm nije alipo mawasiliano ni 0742101020 piga au tuma sms utajibiwa.
  3. Kambeka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara ganii
  4. Kambeka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo chemba
  5. Kambeka

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa madini dhahabu anahitajika

    Wakuu nipo hapa nina jiwe la rangi ya Kijani ambalo ukiliweka juani katikati linaoesha matone kama ya maji naomba msaada kujua hili ni aina gani ya madini
  6. Kambeka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwl idara ya msingi nipo Mkoani Dodoma Wilaya ya Chemba natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje huku mm niende 1:Mkinga mkoani Tanga 2:Chalinze mkoani Pwan 3:Korogwe mkoani Tanga 4:Tanga vivijini au mjini Alkua tayari tunaftane kupitia mawasilno yafutayo...
  7. Kambeka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Chemba Mkoan Dom
  8. Kambeka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Dom Wilaya ya Chemba
  9. Kambeka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Wilaya Chemba Dodoma mm nije Pwani Korogwe auTanga alieko tayari tuwasiliane kwa Pm hii ni idara ya msingi.
Back
Top Bottom