Siamini kuwa kamati kuu ya CHADEMA ni dumbers kama walivyo viongozi wa sekretari yake hivi sasa. Siamini kuwa wao wanaamini kuwa wabunge 47 wao wanaweza kuwalazimisha zaidi ya wabunge 270 kuwafuata.
Kutokana na mazingira waliyoyajenga mara baada ya ushindi wa viti 47 sioni uwezekano wa wao...
Kama ni hivyo, kwa waungwana wangetoa mchango tu tena bila ya kujitangazia na kuwaacha ndugu kuamua na kutekeleza shughuli za maziko bila kuwaingilia. Lakini ninyi sio tu mkatumia kuwashurutisha na hata kuwatisha ndugu hao lakini mkahakikisha kuwa mnaonekana dunia nzima mmebeba mwili wake huo...
Msando,
Hivi wewe ambaye ni wakili wa viongozi wa Chadema huku ukwaita askari polisi kuwa ni mbuzi na kushangilia kuwa kuna askari polisi wamafukuzwa katika nyumba ya kupanga bila ya kusema kuwa mwenye nyumba ni mchaga amabye ni mfuasi mkubwa wa Chadema unadhani kuwa unaweza kuwa objective kwa...
Kwa mitazamo kama hii bado mnadhani kuwa Waislamu ndio wakorofi na wengine ndio wahanga? Wazee waliposema tusichanganye dini na siasa walijua kuwa kuna vichwa vibovu kama hivi ambavyo hata wakati moto unawaka wao hawataona mantiki ya kutoogelea katika bwawa la petroli.
Acha kujidanganya. Katika hali iliyokuwepo sasa na ukichukulia uanaharakati wa viongozi wa kanisa kwa muda mrefu sasa, hata waislamu weny kuumia na mapungufu ya Kikwete ama CCM kwa sasa wako naye. Mlipoambiwa kuwa wanachokifanya viongozi wa kanisa sio busara mling'ang'ania kulazimisha kuwa ni...
Baada ya kufuatilia mjadala huu wa ITV yafuatayo ni machache niliyoyang'amua....
Ni wazi mjadala ulikuwa wa kichochezi zaidi kuliko elimishi.
Rugemeleza amejaribu kuwa mkweli zaidi na kuepuka siasa nyingi lakini pia hulka yake ya hamasa tele imemfanya kuwa anajichanganya mambo mengi. Mojawapo...
Moderator acha ushabiki. Ni haki yangu kutumia kichwa cha habari nilichochagua na kama hakina madhara ya kijamii si jukumu lako kubadilisha na kuweka kichwa cha habari kinachokufurahisha ama kukidhi maslahi yako.....Kichwa cha habari (Title) niliyotumia ni Ninahoji UHANGA wa Marehemu Dennis...
Ni vizuri mnaojua kiswahili mmenifahamisha maana ya uhanga, lakini mnasemaje kuhusu hali ya kukosa uungwana na uaminifu wa kuweka wazi kuwa marehemu Denis Michael hakuwa mmoja wa waandamanaji ama wafuasi wa Chadema kama ambavyo viongozi wa Chadema wamekuwa wakikaririwa katika kumuelezea marehemu...
Kiongozi na Mwanafalsafa nguli wa itikadi ya ukombozi wa bara la Africa, Kamarade Amilcar Cabral aliamini kuwa mafanikio ya mapambano ya ukombozi yatategemea sana nidhamu binafsi (Personal Moral Behaviour), uungwana (Dignity) na uaminifu (Honesty) wa viongozi wa mapambano hayo na wafuasi wake...
Michelle kwa kusafisha majina ya "wanyumbani" kwa kweli nakukubali....Huyu jamaa angekuwa wa kwengine sidhani kama kungelika hapa na CV yake ya ubabaishaji Bin ujanjaujanja....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.