Katiba inapaswa kutoa mamlaka kwa taasisi nyeti kama police;mahakama;Cag,DPP,Takukuru,Tume uchaguzi nk kufanya Kazi kwa waledi na Uhuru bila kuingiliwa na wana siasa
Ee Mungu wasaidie watoto Wa maskini wapewe mikopo.Wameuzinishwa vya kutosha sasa inatosha.Elimu ndiyo njia pekee ya kusaidie familia duni za watanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.