Kugoma,kuacha kuingia darasani,kuandamana,kujinyonga,kurudi nyumbani,kuuza vitu vya ndani,kuwa chizi,kubomoa benki au kuwapiga mawe viongozi wa chuo ni baadhi ya mambo ya kufanya ili kuhakikisha tunapata mikopo yetu kama ilivyo kawaida,haijalishi kwa njia gani au kwa hali gani,hata kama utaipata...