Recent content by kalista

  1. K

    Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

    Kila mahali pana utaratibu wake, na hivyo hivyo unapokuwa chuoni sitarajii kila kitu kitakwenda vile unavyotaka. Hivyo ushauri wangu, wahusika wawasiliane na uongozi unaohusika kuwapangia mabweni ambao wako kwenye kila bweni kujua sababu za kuhamishwa ili kutafuta muafaka kabla ya kuanza...
  2. K

    Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Inawezekana kuhama kozi mradi tu uwe na sifa za kuhamia kozi unayotaka na iwepo nafasi. cha kufanya unaandika barua ya kuomba kuhama kozi na kuiwasilisha kwenye Ndaki/Shule Kuu au Taasisi husika ukiwa chuoni. Utajibiwa
  3. K

    Nawezaje kupata nafasi ya kuhamia UDOM?

    Tafadhali ingia kwenye website ya UDOM, www.udom.ac.tz kuna dirisha liko pale kujaza kwa wale wanaotaka kuhamia UDOM
Back
Top Bottom