Recent content by kalimanzilajuma

  1. kalimanzilajuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuache roho mbaya kwa wenza wetu

    Mungu atusaidie
  2. kalimanzilajuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuache roho mbaya kwa wenza wetu

    Kwakweli Mungu amsaidie
  3. kalimanzilajuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuache roho mbaya kwa wenza wetu

    Niliwahi kuandika humu kusiana na rafiki yangu mmoja ambaye ni mtendaji wa mlandege & mumewe alikuwa mwalimu wa Tagamenda sekondari. Kwa kweli rafiki yangu alikuwa anamnyanyasa sana mmewe na kila aliemshauri alimjengea chuki. Rafiki yangu huyu hakutosheka kumuweka mumewe ndani tu mara kadhaa...
  4. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Waname Mungu awasaidie kwakweli kwa zama hizi
  5. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    UP DATE,HATIMAE MAHAKAMA YAAMUA KUVUNJA NDOA YA SHOSTI WANGU.MAHAKAMA IMEAMURU NYUMBA IUZWE MWANAUME ACHUKUE ASILIMIA 40,NA MKE ASLIMIA 60 LICHA YA MUME KUWA NA MKOPO ALIOKOPA KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA HIYO WATOTO WOTE WAWILI WABAKI NA MAMA .KWELI HUYU BABA ANAKOMOLEWA.BABA AMEOMBA NYUMBA...
  6. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Mungu amsaidie tu asijidhuru kwakweli.
  7. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Wanaume mshikamane kwa Hali hii mmekwisha.yaani shosti anajigamba balaa
  8. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Mpeleke mama yako huna heshima
  9. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Niliyoyakuta kwakweli wanawake Susi Mungu anatuona. MAHAKAMA imeivunja hii ndoa shosti kakabidhiwa watoto wote wawili wa kiume nyumba na thamani za ndani zigawiwe 60/40 yaani mwanamke achukue asilimia 60. Kwa hukumu hizi wanaume Kazi mnayo. Kwa tetesi zilizopo ni kwamba hii nyumba anataka...
  10. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Nashukuru Nimefika salama Iringa
  11. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Hataki kumsikia MTU
  12. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Nimerudi kutoka Znz nimeyakuta Hays mambo mpaka nimeishiwa kwakweli.Yetu macho tumeshauri lakini imeshindikana .Neno langu kwenu nyote muwakumbuke watoto.
  13. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Huyu baba atakoma kwakweli wanawke Mungu anatuona.
  14. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

    Hatimaye shosti ametinga mahakani akidai talaka na mume amuachie Mali zote walizochuma.wanawake sisi mwe.
Back
Top Bottom