Recent content by Kalevra

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria

    clearance nnazo, na kituo cha police wamekanusha kuhusu hilo suala la upelelez kwa sabab hakuna kesi iliofunguliwa! Nakubaliana nawe kua kampuni ina haki ya kupeleka taarifa police pale upotevu unapotokea lakin, hii taarifa haiko sawa kwani mie nlikua likizo kipindi wanachosema vitu vimepotea...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria

    niko mwanza Mgirik
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria

    kampuni ina hela za kutosha kiwaki
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria

    kampuni ni OGE au kwa sasa inajiita Zola
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria

    Habari za asubuhi ndugu, Naomba msaada wa kisheria juu ya jambo lililonisibu katika ajira nliokuanayo katika kampuni moja hapa Tanzania. Nimefanya kazi kwa miezi 7 katika kampuni moja na baada ya kumaliza miezi 7 kampuni ilisema imebadili muundo wa kazi (business model) na kuwapa wafanyakazi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria

    Habar za asubuh ndugu! Naomba msaada wa kisheria juu ya jambo lililonisibu katika ajira nliokuanayo katika kampuni moja hapa Tanzania! Nimefanya kazi kwa miez 7 katika kampuni moja na baada ya kumaliza miez 7 kampuni ilisema imebadili muundo wa kazi(business model) na kuwapa wafanyakaz wote...
Back
Top Bottom