Recent content by Kalenga-Iringa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Maamuzi magumu yaweza kutolewa na vibaka, Kikwete hutoa maamuzi makini!

    Unajua nyie misukule wapumbavu sana. Hivi akili yenu ni kwamba asie chadema ni mjinga? Nani alikuambia Kalenga ni wanachadema? Wakati mwingine muwe mnatumia ubongo kufikiri sio kutumia makalio kila wakati
  2. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Maamuzi magumu yaweza kutolewa na vibaka, Kikwete hutoa maamuzi makini!

    Ni kweli kabisa, CCM hawkurupuki kama chadema.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ruaha: Mwenyekiti wa kijiji atangaziwa polisi

    Wenye akili ni wale wanaowachangisha ili wajenge majumba ya fahari wanawaacha wajinga mnapigwa na jua tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Picha za Lwakatare akiwa mahakanini leo ambapo kafutiwa mashitaka ya ugaidi

    Hilo gwanda litakuwa linanuka kinoma
  5. K

    JamiiForums Tanzania Stop Ben Saanane (SBS) GROUP ni Kundi Haramu, Tusikubali kuingia mtegoni... Nawaonya Wahusika!

    Chadema kimeishia kuwa chama cha udaku tu sasa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Stop Ben Saanane (SBS) GROUP ni Kundi Haramu, Tusikubali kuingia mtegoni... Nawaonya Wahusika!

    Mkuu sometimes mbwa ukiwaachia huwa wanabweka sana, huyo kayataka mwenyewe na nadhani saa Hizi Yuko Bize anajifananisha na house boy kutafuta ukweli
  7. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Huyu mwenye kijani ni ccm na anayeoogesgwas ni kamanda wa chadema
  8. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Hawa watu inabidi tuwaoshe kluwatoa pepo mchafu aitwaye chadema. Bbado ni ndugu zetu
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Sisi kwa kuwa ni jukumu letu kuwaamsha mjitambue inabidi tuendelee bila kukata tamaa kama unionavyo hapa pichani nikimuosha mmoja wa makamanda pale Arusha mjini ili atokwe na pepo mchafu aitwaye chadema
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Umeona mkuu, jamaa hawana sera kwa hiyo wameona njia pekee ya kujipatia umaarufu ni vurugu, kuua watu kufanya maandamano na kulalaamika serikali inataka kuwafanyia mbaya Hawa jamaa ni sawa tu na wale rebels wa Syria ambao ndio wanaoongoza kwa kuua raia lakini kila kukicha wanalalamika ni serikali
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Na wewe shangazi uwezo wako umefikia wapi?
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Wandugu wanajamvi Hivi hawa CHADEMA mbona nakuwa siwaelewi sasa,Kila kukicha hapa utakuta thread za mara CHADEMA wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Hivi Chademna hamchoki na hizi hadithi za kipumbavu?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma - Ufafanuzi wa mashtaka ya uchochezi ya Mhe Godbless Lema

    Yeah , Kamwage damu ya familia yako kwanza
  15. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA anzeni kurekodi matukio yanaayohusu viongozi wenu kuepuka kubambikiziwa kesi!

    yeah, wawarekodi hata wakiwa chooni wakikata gogo
Back
Top Bottom