Recent content by Kalamu Nzito

  1. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Mafundisho Ya Kikristo Yasio na Uhalali Kibiblia

    Biblia ni muongozo wa maisha ya kiroho unaoimarisha uhusiano wa mwanadamu na Mungu. Kunya, kupiga mswaki, kuvaa joho je hayo ni sehemu ya maisha ya kiroho katika kujenga uhusiano na Mungu? Lakini tunapozungumzia namna ya kuomba, namna ya utoaji nk! Haya yote ni mambo ya kiroho na hakika...
  2. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Mafundisho Ya Kikristo Yasio na Uhalali Kibiblia

    Kuna baadhi ya mafundisho yanaenea katika Ukristo ambayo hayana msingi wowote kwenye Biblia 1. KUAMURU MALAIKA (COMMANDING THE ANGELS) Kuna baadhi ya watumishi wanafundisha waumini kuamuru Malaika kufanya mambo fulani. Jambo hili ni kinyume kabisa na maandiko kwani Malaika ni watumishi wa...
  3. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Idea ya Tangazo Kwaajili ya Kampuni ya YAS

    Wazo langu ni la Audio. Nimeandaa beat mwenyewe na lyrics za wimbo wa Tangazo husika so it's not AI based. It's my idea from the scratch.
  4. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Idea ya Tangazo Kwaajili ya Kampuni ya YAS

    Habari wana JF Jobless hapa wa muda mrefu. Hata hivyo nimekua niki-develop various skills ikiwemo audio production na beat making. Hivi karibuni nimeandaa project (AUDIO) ya dakika 1 ambayo nimejiridhisha kuwa itafaa kama Tangazo la mtandao wa simu wa YAS. Sijui utaratibu na sifahamu...
  5. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    Uislamu wenyewe ni aibu tupu mbona. Mbaba wa miaka 50 kuoa mtoto wa miaka 6 na kumlala akiwa na miaka 9 ni aibu tosha. Kuna utetezi wa aina tatu hapa kwa mujibu wa waislam 1: Utamaduni wa kipindi hiko uliruhusu. 2: Aisha alikua kashavunja ungo 3: Watu wa kipindi hiko walikua wanakua haraka...
  6. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Ni Rahisi Kupata Kazi Serikalini Kuliko Sekta Binafsi?

    Kaka shukrani sana. Hii idea nzuri sana. Nimekua nikiandika articles mara kadhaa ila sio consistently. Nitalifanyia kazi zaidi. Thank you once again.
  7. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Ni Rahisi Kupata Kazi Serikalini Kuliko Sekta Binafsi?

    Law School bado napambana na kimeo ndugu. Ningekua na leseni mambo yangekua angalau kidogo.
  8. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Ni Rahisi Kupata Kazi Serikalini Kuliko Sekta Binafsi?

    Chuo nimemaliza 2020 nikaenda Law School. Bado napambana hapo.
  9. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Ni Rahisi Kupata Kazi Serikalini Kuliko Sekta Binafsi?

    Habari wana JF, Hivi ni rahisi kupata kazi serikalini kuliko private sectors? Nimetuma maombi mengi sana sekta binafsi lakini sijawahi kuitwa hata kwenye usaili. Hata hivyo, kazi nyingi nilizo-apply Serikalini nilifanikiwa kuitwa walau kwenye hatua za usaili. Japo sijafanikiwa kupata kazi mpaka...
  10. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania CCM mnachukia nini tukisema hii Tsh. Trilioni 107 ni Deni la Mama

    Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
  11. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu - hakuna mtu asiyependa kusifiwa

    TANU na ASP vilikua vyama pinzani dhidi ya mkoloni. Kwa andiko lako la leo, Nyerere alikosea kupinga mamlaka za wakoloni maana maandiko yanasema: "Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana Hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu." Warumi 13:1 Kwa Tanzania...
  12. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli Mbiu za CCM Kuelekea Uchaguzi Zimedoda

    Hizo takataka unaita akili? Kwani chama kina mradi wa kuchapisha maneno ya kwenye kanga? Kila siku kauli mbiu mpya!! Uchafu huo
  13. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli Mbiu za CCM Kuelekea Uchaguzi Zimedoda

    Na mimi ni mwanachama.
  14. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Sijajua mchakato wa kumtangaza Shujaa JPJM kuwa Mwenye Heri utaanza lini!

    Ana heri gani huyo sasa?
  15. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli Mbiu za CCM Kuelekea Uchaguzi Zimedoda

    Kuelekea uchaguzi, kila chama kimetengeneza kauli mbiu yake. CHADEMA wanatembea na NO REFORMS, NO ELECTION. Hawajabadili kauli mbiu yao tangu waitangaze kwa Umma. Kwa upande mwingine, chama tawala -CCM, timu ya uenezi na itikadi mpaka sasa imebuni kauli mbiu zaidi ya kumi na bado zimekosa...
Back
Top Bottom