Recent content by Kala255

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza bata na mabanda yake ukihitaji

    Ha ha ha....Wana akili
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nauza bata na mabanda yake ukihitaji

    Nina bata 30 mchanganyiko wa madume na majike lakini majike ni mengi zaidi. Nawauza wote na Banda lake kama ukihitaji Madume: 25000 kila moja Majike;20000 kila moja Yapo pia majike na vifaranga vyake. Nipo gongo la mboto.0769846183
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop ya HP.

    Laptop moja ish[QUOTE="Smokey D, post: 30826664, member: 1221 see93" hii nchi ina shida Sana ya ajira..unapata wapi Muda WA kujibu utumbo kama huu? Unakua hupitwi kama juma lukole? Laptop ishauzwa..tuliza tako mtoto WA kiume.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop ya HP.

    Laptop Kali. Storage: 1000GB Ram: 12 GB Core: 5i Rangi: silver Upana: nchi 15 Bei: laki Tisa.( Maongezi kidogo yapo). Simu:0769846183
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata domain iliyopotea

    Asante mkuu nimekuelewa...hivi kuna madhara gani usipotumia domain? bcoz kuna blog kubwa hapa bongo kama wakina michuzi Naona hazina domain kabisa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata domain iliyopotea

    Habari wakuu...Mimi nimekua blogger Kwa miaka minne sasa. Hapo awali blog yangu ilikua inaitwa sirizaafyabora.blogspot.com baadae nikanunua domain ikawa sirizaafyabora.com Sasa Mimi sio mtaalamu Sana WA hizi kazi so kwanzia kufungua blog mpk domain nilifanyiwa na watu. Tatizo ni kwamba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nifahamisheni gharama za kufungua call center yenye watu sita

    id idea hua haziibiwi mkuu...mbona jamii forum anapiga hela na hatumuibii idea yake? naweza kupata compitition ambayo ni kawaida in business.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nifahamisheni gharama za kufungua call center yenye watu sita

    asante mkuu..
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nifahamisheni gharama za kufungua call center yenye watu sita

    asante sana boss wangu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nifahamisheni gharama za kufungua call center yenye watu sita

    asante sana mkuu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nifahamisheni gharama za kufungua call center yenye watu sita

    watanzania wengi hawana furaha...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nifahamisheni gharama za kufungua call center yenye watu sita

    w www.sirizaafyabora.info hii ni blog yangu ya afya tangu mwaka 2014 na nimekua nikipokea simu nyingi sana za watu ambao wanahitaji msaada wa ushauri wa kiafya kwa kuwatoza gharama kidogo sana ya ushauri wa kitaalamu. sasa imefika hatua naona bora nifungue call center ambayo itaajiri doctors...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nifahamisheni gharama za kufungua call center yenye watu sita

    mimi sina kampuni...lakini idea yangu inahusiana na call center..siko hapa kuomba ushauri kama biashara yangu itafanikiwa au itafeli..shida yangu nikujua gharama ya kuisimamisha call center only.
Back
Top Bottom