Natumaini nyote hamjambo!
Mie naitwa Kakuyu, naomba ushauri mahsusi kutoka kwa waliokwishafanya Kilimo cha Maembe na Minazi.
Nina shamba lipo Kisarawe maeneo ya Masaki (Mji Mpya) lenye ukubwa wa Hekari 25. Niko kwenye kigugumizi kuhusu nilime zao gani ili nipate faida maana najua hakuna zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.