Recent content by Kakunkuna

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

    Sofia Simba ni kilaza sana. Mkuchika ni 'borer' fulani. Wote hawa ni watumwa wa mafisadi. Wanaokoteza makombo wanayotupiwa na manyang'au na wabakaji wakubwa wa mali za maskini wa Tanzania. Reginald Mengi ni mzalendo anayeujua wajibu wa kizalendo kwa nchi yake. Na sisi tunafuatilia kwa makini...
Back
Top Bottom