Recent content by kakiza

  1. kakiza

    Kauli za Kikwete na Sirro zinaashiria kuna tatizo kwenye kifo cha Dkt. Reginald Mengi..

    Ni kweli maana hakuna sehemu ilishaandikwa kuwa mm(mengi) ntakufa kwa njia fulan, kifo hakina ahadi na tujifunze na kutambua kuwa kila aliyeumbwa na damu ya Yesu atarudi mavumbin, tunapokosoa njia ya Musaraba ni sawa na kumkufuru Mungu. Hngera muongoza njia shujaa wa busara na hekima kwa...
  2. kakiza

    Gazeti la MIZANI na uchochezi dhidi ya Rais, Waziri Nape lifute hili gazeti

    Na sisi tuliyopo Zanzibar tulalamike kuwa tunatengwa, katika takwimu hizo ni nyazifa zenye mapato mishahara ya kumpeleka Mtoto nje ya nchi miaka 20 kusoma masters, sisi huku Zanzibar hata nyazfa au ngazi yenye maslai ya kumpeleka Mtoto shule za kata hakuna aliyepewa dini tofauti na Muslims!
  3. kakiza

    Kiwanja bei nafuu

    Poa ngoja tuzd kuwacliana
  4. kakiza

    Kiwanja bei nafuu

    Inaruhusiwa kulipa kwa hawamu mkuu?
  5. kakiza

    Kiwanja bei nafuu

    Kuna umbali gn kutoka barabara kuu kwa hapo kilipo?
Back
Top Bottom