Recent content by kakamina

  1. K

    JamiiForums Tanzania Senzo: Soka la Tanzania nimejifunza kufanya kazi mazingira hayakuruhusu kuwa huru 100%

    Amesema Tanzania Kama ni Tanzania maana yake ni Simba na Yanga maana amepita kote huko Sawa kaka Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

    Pole hata huyo yawezekana siyo mwanao Jiridhishe kwanza kama ni mwanao kweli Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana mahusiano na kaka yangu wa damu

    Pole ktk maisha hii yaweza tokea . Imewahi nitokea mie licha alikuwa binamu yangu na rafiki yangu wa karibu sana , mie ninachoamini mapenzi ni ya watu wawili tu akiingia mtu mwingine imekula kwenu. Binti huyu nilimpata , ndani ya Ile teenager akiwa ananizidi miezi kadhaa kiumri . Basi binamu...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni haki kweli kumlipia mpenzi wako mahari ng'ombe 40?

    Usukumani Tena wamempunguzia sana ni kawaida sana wangemwanzia ng'ombe 80 wao wamesema 40 wanaweza punguza mpaka 30 lkn kama ni vzr aombe alipe za miguu kama 10 hivi zingine athamanishe fedha hapo atakuwa kapunguza Tena wanyatunzu wanadharau kuliko kawaida Hafu ni watafutaji pita kawaida...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Hawawezi kamatwa Kwa kuwa ilikuwa ni mechi live Yanga na Simba tofautisha ya Simba day
  6. K

    JamiiForums Tanzania Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Tofautisha hii ya Simba na ya Yanga Yanga ilikuwa kwenye mechi yao na sba Lkn simb wameleta siku ambayo siyo mechi na Yanga maana yake Wamezika timu zote za ligi kuu Kwa kuwa ni ufunguzi wao wa kuanza msimu Ingekuwa kwenye mechi zao tungesema ni ushabiki hili lilipangwa kabisa ndiyo maana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Subiri tu kumwagiwa mrembo wa pori
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Maana yake. Ni Nini Sasa kinyago ndo kimekufa au vp
  9. K

    JamiiForums Tanzania Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Washazoea kuroga mchana hao Na hapo walikuwa kuroga tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tukubali maumivu: Simba kuanzia michuano ya awali CAF champions league!

    Tuliwaambia corona na ndumba zimewabeba mkajifanya wajuaji mavi Sasa mko wapi 1 st match out
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mapato Simba Day vs Yanga Day

    Yanga walijifunza tokana na maandamano ya kombe Lao jinsi watu walivokuwa wamejaa hivo wakaona wakiweka kiingilio Cha chini watu watajaa na kusababisha taflani kwenye uwanja ndiyo maana wakaja na kiingilio Cha juu Upande wa wekundu wao hawakuwa na ufaham wa mwitikio haswa kipindi hiki ambacho...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume hata umkere vipi hajui kukasirika

    Amsha ukija hovyo hovyo unapigwa ukuni kweli kweli na unaachwa
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume hata umkere vipi hajui kukasirika

    Madako gako
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wakifa wanawake hunenepa na kupendeza sana

    Wananenepeana Kwa sababu mafuta ya miili yao hayachomwi Kila mara Kwa sabb ya kwich kwich
Back
Top Bottom