itafahamika tu mwisho wa safari yao. wanakera sana mi naona wamezoea madaraka wanaogopa kuyakosa na wakija kuyakosa watahaingaika sana ila watakuwa wamechelewa
Kiukweli hili jambo linanitatiza sana, nashindwa pa kuanzia pindi ninapotaka kujiingiza kwenye mahusiano.
Je ni lazima niwe na mahusiano ya kimapenzi na mtu wa dini yangu?
Naomba maoni ya mitazamo yenu juu ya suala hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.