Recent content by Kaka_Joni

  1. K

    Nahitaji Binoculars

    Wakuu, nahitaji mwenye Binoculars nzuri used tufanye biashara. Mimi niko moshi mjini najua wengi mnaodili na watalii hapa moshi na arusha mnaweza kunisaidia. Kama unayo tuwasiliane hapa hapa au pm au whatsap 0755033441.
  2. K

    Mikoani watu hulala mapema sana tofauti na Dar

    Ukweli ni kwamba wanaume wa dar mnayatamani sana maisha yetu sisi wa mikoani sema ndio hivyo tena hamna namna.. Hakuna binadamu timam asiependa kupumzika sema hali tu inawabana huko na hamna la kufanya.. Nyie endeleeni kujifariji tu. Sisi huku ukitoka ofisini saa kumi, saa kumi na robo uko...
  3. K

    Viti vya plastiki used vinahitajika Moshi.

    Nimewalenga wenye navyo au wanaojua mwenye navyo.
  4. K

    Viti vya plastiki used vinahitajika Moshi.

    Nahitaji kununua viti vya plastiki used pamoja na meza zake (viti 20 - 50) . Kama unavyo naomba tuwasiliane PM. Niko siriaz
Back
Top Bottom