Mi nadhani tunakosea Kujipaka Makosa kwa ujinga ya WaTz wachache, kila nchi suala hili lipo na wanajitahidi kuliondoa kwa kadri ya uwezo walionao, tunachotakiwa sisi kama raia wema tushirikiane kuuondoa ujinga huu na sio kusema hadithi tu na kutukana.
wanajamvi habari yenu, ninauza uyoga aina ya mamama(oyster) upo ambao ni fresh na uliokaushwa, kwa uyoga frsh bei kwa kilo ni 10000 ila vipimo kuanzia robo vipo, na kuletewa ni kuanzia kilo 3. pia kwa ulio kaushwa unaletewa kuanzia kilo 1. kwa mawasiliano zaidi tuchekiane 0714576371
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.