Recent content by kaka lugy

  1. K

    JamiiForums Tanzania HESLB wameanza kupokea appeals

    wanao appel ni wote,kama haujaridhika na kama umenyimwa kabisa mkopo. mi nimenyimwa kabisa na tayar nime appel na nimeshapeleka fom kwa loan offcer
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rooms allocation, UDSM

    toa link
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

    Hili ni janga la kitaifa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

    hivi hakuna sehem yoyote inayokopesha wanafunz wa elimu ya juu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anapopewa nusu mkopo

    wengine hatuna hata chochote. 54% bado unalalamika !!!! hakika dunia haiko sawa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wale wa SUA mkopo huu hapa

    sisi wengine cjui lini. Udsm na nyie toeni basi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote kuhusu DUCE

    sasa kama loanbod inanilipia asilimia 100 na ninahtajika kulipa ada ili kukamilisha usajili, je nikilipa na loanbod wakatoa mkopo wao nitarudishiwa ile niliyolipa?
  8. K

    JamiiForums Tanzania NACTE waitwika zigo TCU

    nasikia eti tcu wametoa majina zaidi ya 50000 waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu ajabu ni kwamba web page yao haifunguki na ni kweli wameshaachia au ni maneno tu? na kama wameshaachia link gani nitumie ili na mm nione
  9. K

    JamiiForums Tanzania NACTE waitwika zigo TCU

    mi naona mapuuza bongo kuisha mpaka taifa litubu dhambi ya ubabaishaji na uongo. sasa tusubili lini watamaliza kuondoa hiyo multiselection? UBABAISHAJI SASA BASI!
Back
Top Bottom