habari wana JF
naomba msaada wa mawazo na uzoefu kwa wale wanaofanya biashara ya kuuza nguo za watoto wadogo kuanzia umri 0- 10 hv je kwa biashara ya jumlajumla mzigo mmoja wa nguo za watoto bei gani? na vp kuhusu vifaa vya watoto km car seat, vitanda, na vyoo vya watoto navyo vinauzwaje kwa bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.