Rais Samia asifikiri kumweka Makonda kwenye nafasi hiyo ndio nafuu kwake, hapa, anajidanganya, tena huyo Makonda tuna kazi naye atakapokuja mtaani kwetu, lapili kama mkataba wa DP World umebeba maoni kweli ya wananchi atakuwa salama, kama kafanya janja janja hawezi kubaki salama kisiasa, sababu...
Tatizo ya Chama tawala, viongozi wao na serikali yote nikimaanisha mawazi,wakuu WA mikoa, wakuu WA Wilaya taasisi zote wanatuona Sisi wananchi WA kawaida ni wakings kupindukia, ila wao ndio wanahakili. Nasikia Kigamboni yote mnataka kuifanya bandari , Sasa mjipange na mhamishe na matenki yote ya...
Ni kweli mnahitahiji maoni tatizo ktk kutia huduma zenu hamjali muda, ninyi mnajali kukusanya fedha lakini sio ubora WA huduma,unakuta watu wengi stendi lakini Hari zinapita tu, ule ukasi mliouanza nao hamnao siku hizi, toka Ferri hadi Kumara DK.30 lakini sasahivi SAA nzima
Rais Samia, Mimi mwananchi wako, naishi huku Kigamboni, nakuomba Tuma Vijana wako wafuatilie kuona jinsi gani akina Mama wa Kigamboni wanavyofanywa na Benk ya CRDB na mwana siasa mmoja anaye itwa Lilian Wasira.
Huyu Mama amewaandikisha wamama kuwa wanachama cha NGO yake inayoitwa Citizen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.