Recent content by Kaimu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

    according to sources wamefukuzwa uanachama wa BAVICHA but automatically watakuwa wamefukuzwa uanachama wa chadema since kanuni za chama zinasema ukifukuzwa uanachama wa BAVICHA then unakuwa umefukuzwa uanachama wa Chadema pia.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

    I thought i Knw or at least i have come across all English words but Ben alwaays proves me wrong
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Bavicha Mkoa wa Tanga kuhusu taarifa za katibu kwenye vyombo vya habari.

    mkuu umeongea kweli hawa vijana wameona jamii forums ndo sehemu ya kutambulika na kujulikana,badala wajenge chama na kazi zao zipimwe na watu then waamue kama wanafaa au la.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Bavicha Mkoa wa Tanga kuhusu taarifa za katibu kwenye vyombo vya habari.

    Tangu aweke ile post ya ku-graduate na kudai Makamba kamkimbia niliona he is worst than the other masalia,hafai hata kuongoza mtaa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani wa Makuyuni-Monduli (CCM) afariki Dunia

    Taarifa nilizopata nikiwa karibu na eneo la Makuyuni zinasema ndugu walikuwa wamzike Nairobi ila Mzee EL ndo ameshawishi aje kuzikiwa Majengo,Arusha taarifa zachinichini zinasema Bwn Diwani alkuwa ni mtu wa kazi na alikuwa akifanya biashhara ile ya Katibu Mkuu wa Gamba
Back
Top Bottom