Recent content by kaifastus

  1. K

    GE2025 Rais Ruto: Sisemi Tanzania hakuna demokrasia, lakini Kenya huwezi kushinda Uchaguzi kwa asilimia 96

    Hahaha! This always in the minds of kenyans. Wakenya huogopa kukasirisha watanzania kwa sababu their leadership can make "sudden" announcements! Banning exports from TZ, banning 8nports from Kenya etc kama Trump!
  2. K

    Poleni Watanzania

    Kuna kitabu ambacho kimeandikwa na mwandishi Daron Acemoglu. Kinaitwa "why Nations fail" Acemoglu asema kwamba nchi nyingi Africa "Institutions" ni dhaifu mno. Hivi kwamba umaskini waongezeka ilhali walio na nguvu za kisiasa (political elite and their cronies expropriate countries wealth)...
  3. K

    Poleni Watanzania

    Nimehuzunika mno kushuhudia mauaji TZ. Wanahabari wa Tanzania wako na swali la kujibu! Walinyamaza mauwaji yakiendelea!
Back
Top Bottom