Recent content by kahwila

  1. kahwila

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Jieshimu akuna chuo kilichi toa wafanya kazi wengi serikalini kama cbe .cbe kilianzishwa mwaka 1967 kwa sheria ya wizara ya viwanda na biashara so mwaka Jana ili Fanya mahafali 49 sasa kijana utasemaje ni chuo cha kata wakati baba wataifa alikianzisha usiwe mjinga!!
  2. kahwila

    JamiiForums Tanzania Ujambazi salsa hivi umezidi sana hii INA maanisha ni

    Ujambazi kwa sasa umekuwa mkubwa sana labda kutokana na na maisha Kuwamagumu ajira hakuna kwa vijana!KILA kijana anataka awe na Nyumba nzuri gari na mke au Mme mzuri!!
Back
Top Bottom