Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua kitendawili.
Kwa maoni yangu uwezo wa Makonda unahitajika katika wizara ya NISHATI sababu naamini uwezo wake...
Imepita miaka mingi wilaya ya masasi imegubikwa na mambo ya hovyo hovyo na hayaondoki kila siku hujirudia na utadhani hakuna viongozi wanaopaswa kutatua kero hizo
1. Umeme, sidhani kama kuna wilaya ambayo inaongoza kwa kukatakata umeme kama masasi
2. Barabara zilizobomolewa kuacha bila...
usinambie kwa tanzania bara hii huko unapoishi hakuna barabara iliofumuliwa ikaachwa tu ila kilio zaidi kipo mtwara asilimia 80 ya barabara zote zimefumuliwa tangu mwezi wa pili na zimeachwa tu mfano watu tunosafiri kutoka masasi songea barabara inavipande vingi vilivyotelekezwa tu
Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko.
Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe?
Naendelea kusema...
Sijui ila kwa akili zangu naweza kusema kuwa kama sekta muhimu na mhimili wa maendeleo ya Tanzania TANESCO kushindwa kufikisha malengo ya wananchi ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, je, sekta nyingine zina hali gani?
Binafsi akili yangu inanituma kusema Rais Samia ameshindwa kwani TANESCO ni...
Imefika wakati tupigeni kelele mambo ya ajabu yatokomee
1. Vyombo vya habari vimekuwa na uhuru tu wa kusifia Serikali ya mama Samia pekee ila huwezi kukuta chombo cha habari kikihoji maendeleo ya kijamii kama kukatika katika ya umeme, uhaba wa maji, mafuta, vyakula bei juu, kuadimika kwa dolla...
Leo tarehe 26 June 2023 tayar baadhi ya mishahara ya watumishi imeshaanza kumiminika.
Ila mkulima wa ufuta aliepeleka mazao ghalani tangia mwezi uliopita kwa mtwara na Lindi hawajaingiziwa pesa zao.
Imempasa mkulima kuuza ufuta wake Kwa cash kwa walanguzi.
Mkulima wa ufuta inabidi akope ili...
sio kweli wapo watu ambao wana uchungu na hali ilivyo, Ni wazalendo, kama wapo wanaolia sababu simba na yanga kufungwa watakosaje Watakaolia kwa Tanzania kuumia?
sawa wasiseme haya yanayotokea wao hayawahusu hawayaoni? mfano mdogo ripoti ya cag makosa yanafanyika kwa kiasi kikubwa wao wapo wapi? Great thinkers wanazidiwa akili kuibiwa wazi wazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.