Mimi nimependa hoja yako ya kwamba CCM kama mkoloni kwa upande wako unaona hajaleta mageuzi yoyote ktk nchi hii,kiasi kwamba kama ataondolewa akapewa mwingine anaweza kuyaleta mageuzi hayo.
Naomba kufahamu una maanisha mageuzi ya namna gani hasa?
Mwanawao:kwani waliposhiriki uchaguzi mkuu mwaka jana walisukumwa na nini?walisema kwanini wanashiriki?na ni kipi ambacho kimebadilika leo?
Just a curious !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.