Recent content by kagram

  1. K

    PreGE2025 Vijana wasichague viongozi kwa mihemko ya kivyama au chuki, bali kwa uwajibikaji na sera bora zinazotimizika

    Kumekuwa na mashindano mengi ya mpira hasa mpira wa miguu kwenye majimbo na kata mbali mbali nchini. Kwa jicho la kawaida ni jambo zuri lakini kama ukijiuliza ni kwanini ije kipindi hichi na sio miaka miwili au tatu iliyopita tena ikija na ahadi nyingi na fedha nyingi basi utagundua ni siasa...
  2. K

    SoC04 Miradi magerezani kulipa wafungwa kupunguza uhalifu nchini

    Asilimia kubwa ya wafungwa wanaomaliza vifungo vyao hasa wafungwa wa vifungo vya zaidi ya miaka miwili wamekuwa wakipata changamoto kuyaanza tena maisha ya uraiani kutokana na kukosa ajira na pesa kama mitaji yakuanzisha biashara na kuendesha shughuli zao na kupelekea wengi wao kujiingiza...
  3. K

    SoC04 Mambo ya kufanya kuongeza nidhamu uwajibikaji na morali kwa wafanyakazi kuifikia Tanzania tuitakayo

    Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi juu ya huduma mbovu kutokuwajibika kuombwa rushwa na kauli mbaya kutoka kwa watoa huduma katika maofisi ya umma. Ipo haja ya serekali kuanzisha dawati la huduma kwa wateja na kutoa namba maalum kama ilivyo kwa mitandao ya simu ili wananchi waweze...
  4. K

    SoC04 Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika miradi ya serikali

    Tumeona serekali yetu ikitekeleza miradi mipya ya kimikakati mikubwa kama ujenzi wa reli ya kisasa mabasi ya mwendo kasi na bwawa la kufua umeme la mwalimu nyerere hii yote ikiwa ni mipango na mikakati ya kufikisha huduma bora kwa jamii. Tumeona treni ya SGR imekamilika na kuanza kazi...
  5. K

    SoC04 Matumizi ya gesi asilia mbadala wa mafuta ya dizeli na petrol

    Sekta ya nishati na madini ni moja kati ya sekta muhimu na inayogusa maisha ya mwananchi mmoja mmoja hata mwananchi wa kipato cha chini. Moja ya bidhaa za sekta hii ni mafuta ya petrol na dizel ambayo huagizwa kutoka nje ya nchi na kupelekea nchi kutumia fedha nyingi za kigeni katika uagizaji...
Back
Top Bottom