Habari ndugu zangu!!!. Niende, moja kwa moja kwenye maada!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26.
Ndugu zangu tatizo ambalo linanikabili ni kuwa ineffective ktk mishipa ya penis ambalo linapelekea kushindwa ku erect kisawasawa.
Ki ukweli nimefanya sana muster bastion kwa muda mrefu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.