Recent content by Kagera Vita

  1. K

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere ni mgonjwa wa afya ya akili, asaidiwe kwa maombi

    Wewe ndio mgonjwa wa akili kama siyo mweu wana familia wapo wewe ndio msemaji wao
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtu anayepambania nchi ikae kwenye mstari ndo mnataka kufukuza nchini ili wabaki wezi?

    Kwa sasa hii nchi hata ikivamiwa na burundi inatekwa tu akuna mwananchi atakayetoa ushilikiano zaidi ya kuwasaidia maadui
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kanali aliyetoroka sasa aipasua kichwa JWTZ. Halihitaji Kutangazia UMMA wamefikia Wapi!

    Akamatwe na nani nchi ya vilaza hii Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kanali aliyetoroka sasa aipasua kichwa JWTZ. Halihitaji Kutangazia UMMA wamefikia Wapi!

    Hata marehem mtikila slishaeleza kagame kapenyeza watu elfu35 wakampuhuza kalibu nusu ya wanajeshi ni wanyalwa wajumbe wa neki ya ccm wamejaa baazi ya mawaziri na tahasisi nyeti wamejaa alafu leo mnajitapa kuwa mnauwezo wa kpigana na RWANDA nchi ilishatekwa siku nyingi matanzania yamekalia yanga...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Washindwa kuombea ndugu na familia zao zilizo kwenye lindi la ufukala na kuwalilia na kuwaombea ndugu zao walio tangulia mbele za haki ebu jaribu kuwa na akili Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wale mnaowashambulia viongozi wetu mitandaoni Angalieni alichopost Elon Musk Tajiri Namba Moja Duniani

    Anatosha kwa wajinga na wapumbavu kama wewe msiojitambua hata biblia inasema amkanaye mzazi wake amelaaniwa nyinyi tayari laana inatembea mpaka kwenye vizazi vyenu saba kwa ajili ya kuhangaikia tumbo badala ya kumtukuza mungu unahangaikia mtu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa "Nitasema"

    Na yule haliyetukana watanzania wote ni malofa masikini wakati huohuo anishi kwa kodi za masikini na malofa yeye halichukuliwa hatua gani Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

    Labda na yeye kaguswa Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

    Hangekuwa kiongozi anayefaa TZ tungekuwa na katiba pili huyo shoga wa P didy haende kwa mme wake Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji kiongozi kijana kama Ibrahim Traoré wa Burkina Faso

    Huyo ndio komando siyo wanyanyua vitu vizito wa JWTZ ambao hawana uchungu na nchi yao Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ cyber warfare unit

    Kama kipindi kile walinunua rada mtumba ndio useme tuna wataam hao ni wanyanyua vitu vizito siyo makomando kama marehem Tamim Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ cyber warfare unit

    Kama kipo nchi inahuzwa wapo tu na walihapa kulinda nchi na mipaka yake viva Troure Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Madai ya John Mnyika, Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ukweli dhidi ya Upotoshaji

    Ni kweli na hayo wanayojidai kukanusha ndio yanafanyika na wanahadikisha mpaka wanafunzi kibaya zaidi ni kule kulazimisha walim na waganga wa vijijini na kata zote kuwa na kadi za CCM hakikataa atabambikiwa tuhuma ili asimamishwe kazi
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Sawa kama hajawahi kuua hao wanaotekwa na kuuliwa ni wa nchi ngani na kiongozi wa hiyo nchi ninani sababu viongozi wa nchi za kiafrika ndio wauhaji namba moja Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliotumbuliwa kwa fedheha (2005-2023)

    Ccm ahijawai kuchagua mwenyekiti nyerere mpaka alipo ondoka madalakani kwa kubanwa na WB na IMF hakuna demoklasia ndani ya ccm kweli nyani ahoni kundule
Back
Top Bottom