Recent content by kagenzi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    Hapa umejaribu kutengeneza dhana ya kufananisha au kulinganisha mambo pasipo kuzama katika fikra pevu.Nikukumbushe jambo moja ndani ya CCM baada ya uchaguzi wa 2010 Mh. Samwel Sitta alitoswa uspika kwa kile kilichoonekana kuhoji mambo ya serikali ya chama chake.Na bila shaka utakumbuka Mh...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa BBC akamatwa na polisi Loliondo

    Wanasiasa makini uongozwa na dira ya kutambua athari za kila hatua wanayochukua katika kutekeleza jambo lolote lile, lakini hapa kwetu imekuwa tofauti sana kwa kuwa wanasiasa wamekuwa ni watu wa kukurupuka kufanya maamuzi yasiyozingatia ukubwa wa athari zitakazotokea kwa kila hatua wanayochukua...
Back
Top Bottom