Nadhani kueleza maana ya UTU si rahisi kama inavyodhaniwa,ni suala ambalo linahitaji makubaliano yasiyo na uthibitisho wa kisayansi,ni la ki imani zaidi..nasema haya kwa sababu tukikubali historia ya neno Mtu,na kupokea neno utu ambao ni laazima upatikane kwa mtu,kama ubinadamu unavyo patikana...