Recent content by kafunza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akitaka kufanikiwa aruhusu immigrants na Dual Citizenship

    Umesoma wapi wewe? Unataka kutuambia Tz hatujawahi kugundua chochote?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja CCM kwisha

    Hivi Upinzani kumbe huwa wanagawa Pesa?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Maiti Saba wa Mto Ruvu ni wahamiaji haramu

    Kwani haiwezekani kuwa hao wahamiaji haramu walikufa kwa msongamano hivyo hao wasafirishaji haramu wakaamua kuwafunga mawe na kuwatupa ili kupoteza ushahidi? Tusikimbilie mahitimisho bila kuangalia kwa mapana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 55 ya uhuru, familia za Nyerere na Kawawa hazikumbukwi

    Ni vema kila Mtanzania akatambulika kwa mchango wake kwa Taifa. Mambo ya kutambuana kwa walioyafanya baba na babu zetu na kisha tukapewa upendeleo ni dalili za Usulutani
Back
Top Bottom