Shukurani kwanza
Shukrani kaka ngoja nifike officie zao nitaleta mrejesho
Kuhusus paragraph ya pili ni maoni yako na kiwango chako cha kufikiri , natumai ipo ck utatoka kwenye huo utoto
Habari wana Jf
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza Siku za hivi karibuni freelancer . com wamedili sera zao ku withrawal fedha kwa njia ya Bank mpaka ufanye Address verification MNimejaribu kutumia option ya bank statement Ya CRDB unfortunately wameikataa Kutokana na uhalisisa kua Format...
Habari wana JF,
Mimi ni software engineer mwenye uzoefu, na nina ham kubwa ya kuingia kwenye ujasiriamali wa kiteknolojia – hususan kutengeneza mifumo inayotatua changamoto kwenye jamii yetu.
Miezi michache iliyopita nilisafiri kwa mara ya kwanza kwa kutumia SGR, na kwa kweli experience...
Natanguliza salam kwenu Wana jukwaa. Kama kichwa kinavyojieleza, nitakua na KAZI ya mwezi mzima hapa Dar es Salaam natafuta Furnished 1 bed room. Natafuta budget yangu ni 450k.
Kama kuna MTU anaweza nisaidia nitashkuru sana
NB: Lengo la hii thread ni kuhabarisha (Sitoi huduma yoyote Pm)
Salaam kwenu wakuu weekend ya leo wametukatia umeme huku napo ishi nimeona ni vyema niwashirikishe hili
Mnisamehe kwa Uandishi wa hovyo me so muandishi mzuri
Mimi ni kijana wa miaka 23 mtanzania, 2022 ulikua mwaka mzuri sana...
Ahsantee mkuu Nimepata pakuanzia kuhus pass ndio tyr nimewakilisha zote zinazohitajika Kuhusu health insrnce inabidi niandae km $$ ngapi ? na je kuna njia ya kulupia hio insrance au una safri na cash??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.