Watu wanapenda kusikia kile wanachopenda wao au kile ambacho wanaona kinawabeba kwa upande wao.
Mkuu simamia hapo hapo na endelea kupiga kotekote bila kuonesha upande. Wenye siasa zao wataendelee kulia na kufurahi kwa zamu.
Hiyo nyumba ni ya tofari Mbichi, kuchoma au za Saruji na Mchanga? Pia kiwanja chako kina ukubwa gani wa Mita za Mraba? Vile vile hiyo Iwambi unayoisemea weye ni Block, E, F, G au Miyomboni?
Kama hiyo nyumba ipo vizuri na ipo Block E,F na G na hainunuliki basi itakuwa na shida nyingine. Kwa...
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we...
Shida tulio wengi ni wavivu kusoma makala ndefu za Mkongwe huyu. Ukiisoma makala hii yote kama mkuu ulivyosoma Paskali kama kawaida yake kapiga bonge la dongo kwa Madelu. Wasomaji wanapaswa kurejea tu pale anaposema Nyerere alikuwa anazungumza na kile alichokuwa akikisema au kukizungumza...
Hawa ni aina ya watu ambao hawana shughuli nyingine za kuwaingizia kipato zaidi ya siasa. Huwezi kumweka katika kundi la watu wenye fikra za kumkomboa mwananchi wa kawaida dhidi ya Serikali nyonyaji na vandalizing. Huyu ni mchumia tumbo. Aliahidi kuzunguka nchi nzima kuisema Vibaya CHADEMA na...
Umenena vema sana. Though jamaa kamfungulia nyuzi kadhaa kumpamba huyu Msigwa aliyekosa fursa zilizompeleka kule. Huyu angekula teuzi na kupewa hadhi kule kijani asingekuja na hizi porojo za kurejea tena CHADEMA.
Mada yako inahitaji great thinkers wanaosoma na kuelewa maudhui ya kile ulichokiandika. Wengi wetu tumesoma tu kichwa cha habari na kuanza kutukana. Kama wangesoma na kuelewa ulichokiandika kwakweli ungepata sifa lukuki. Tatizo letu hatusomi na tunapenda nyuzi nyepesi nyepesi ambazo haziumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.