Recent content by Kado MtotoWaMzeeWaSiku

  1. Kado MtotoWaMzeeWaSiku

    JamiiForums Tanzania TUWASA Mtatuua kwa kutunyima maji safi.

    Tabora mji tuna hangaika kwa ukosefu wa maji safi, mamlaka haina lolote inafanya kuondoa kero hii tuna maliza mwezi mmoja na nusu sasa. Hawasemi kama kuna shida, hawataoi rai yoyote, ila bili zinakuja tu na ni gharama kubwa wakati maji hayaja toka kwa mwezi wote toka July huko. Ebu wahusika...
  2. Kado MtotoWaMzeeWaSiku

    JamiiForums Tanzania KERO Tabora tuna kufa kwa ukosefu wa maji safi na mamlaka zipo kimya tu

    Nina kero hii kutoka hapa Tabora Mjini. Tunakaribia mwezi mmoja na nusu sasa hatuna maji safi, na hakuna sauti yoyote kutoka kwa mamlaka husika. Hawana hata samahani wala taarifa yoyote kwamba kuna mgao wa maji. Athari kwa wakazi ni pamoja na: Kukosa maji kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani...
Back
Top Bottom