Zabibu dar aioti sijui una ardhi gan ya kuotesha uo mmea hutopata tunda ila mmea utakuwa vizur zabibu inalimwa dodoma na maeneo ya singida kidgo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye fursa za masoko mana ake wanakuelekeza kabisa mahal ukauze bidhaa yako au wanakuambia peleka kariakoo mda uhu nyanya inaitajika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia mwez wa kumi ntakuwa na bidhaa izo hapo kwa atakayeitaj anaweza niona kwa number zifuatazo 0718040208 free delivery kwa mtu atakayechukua kuanzia kg 1000 kwa bidhaa ya nyanya na mboga mboga table grapes kuanzia kg 300 mikoa ya dar moro dodoma pwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mteja atakayeitaji sungura wa biashara anaweza wasiliana kwa namba izi 0718 04 02 08 bei zangu ni nafuu kuliko kwa wauzaji wengine sungura wapo salama kiafya na uzito unaoitajika kalibun .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.