Recent content by KadamaKadama

  1. K

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14

    Ndugu yangu Mayalla, umenena vyema kabisa, je hiyo mikopo ya mwaka 2012 ya Credit Suisse ipo kwenye public domain? Aidha tambua fedha ikikopwa inaingia mfuko mkuu wa serikali ambapo hela zote hizo huelekezwa kuhudumia shughuli zote zilizopo za serikali kama zilivyopitishwa na bunge kwa mwaka wa...
  2. K

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14

    Kama ambavyo nimesema unahitaji elimu tena ya kutosha ili ujue serikali inavyofanya kazi zake, kufanya kazi Ofisi ya CAG kama Consultant sidhani kama imetosha kwako kuijua serikali na kazi zake. Mwaka 2012 Serikali ya awamu ya nne ilikopa USD 550 million kutoka Credit Suisse mbona huulizi??? Au...
  3. K

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14

    Ninavyoona unahitaji elimu kidogo tu na utaelewa. Soma vizuri mchakato wa upitishaji wa bajeti ya serikali na mihimili hii miwili inavyofanya kazi, nadhani utaelewa.
  4. K

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14

    Wewe ni mtu muongo sana, wabunge hawawezi kunyimwa mkataba kwa namna yeyote ile - unawadhalilisha!
  5. K

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14

    Terminal III ni muendelezo wa Terminal II,Msalato ni pori la kufyeka unaanza from the scratch, Msalato ni mdogo wa kuanzia and modern runway plus terminal building, study zimefanywa kwa pamoja na AfDB na Serikali kwa uwazi, sidhani kama hoja yako ina ukweli. Kumbuka tender ndiyo kwanza...
  6. K

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14

    Brother Credit Suise umenoa vibaya sana na unapotosha mchana kweupe, kumbuka mkopo huo ni wa masharti ya kibiashara na serikali iliruhusiwa na bunge ikope, riba zake hupimwa kwa mwenendo wa masoko ya fedha duniani kwa uwazi kabisa ikishirikisha timu kutoka Benki Kuu ya Tanzania, Ofisi ya...
  7. K

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14

    Hongera sana, ninavyojua mkopaji na mkopeshaji huingia makubaliano ya kutunza siri (confidentiality) za mkopo, upande wowote ukitoa siri basi unaweza kutambulika umekiuka masharti ya mkopo. Hata hivyo mikataba hii ya mikopo haipo siri kwa bunge, waheshimiwa wabunge wanayo haki ya kuhoji chochote...
  8. K

    Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

    Sweden ni kama Uingereza sera zake za misaada zinabadilika kulingana na siasa za wakati huo. Mfano Uingereza Chama cha Conservative kilipoingia kilipunguza misaada ya kibajeti kwa asilimia mia moja nchi ya Tanzania, hata chi za Scandinavia zimefanya hivyo hivyo. Hapa ukiangalia ni kwa nchi zote...
  9. K

    Magufuli Geukia huku kwenye Maghala ya kuhifadhi Chakula, Wasaidizi wako wanakuangusha

    Uliyeandika unajifanya ni mzalendo lakini kaa ukijua utashindwa, hizo hujuma zako ni za kutengeneza, ukweli utabakia daima. Unapoteza muda huku kwa kuwaandikia hao wapoland kati ya nchi za Ulaya ya Mashariki zenye rushwa zilizokisiri. Mradi wa matrekta wameuharibu na mengine mengi... mbona hayo...
  10. K

    CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    CURRICULUM VITAE NAME : Charles Kichere DATE OF BIRTH : 26th March 1970 ADDRESS : P.O. Box 11364 ACADEMIC QUALIFICATIONS December 2008: University of Dar es Salaam Awarded Master of Business Administration (MBA – Finance). June 2004: African...
  11. K

    CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    October 2006: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA) Registered in the category of Associate Certified Public Accountant in Tanzania [ACPA 1450] November 2002: The National Board of Accountants and Auditors (NBAA) Awarded a certificate as Certified Public Accountant in Tanzania...
  12. K

  13. K

  14. K

    CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Ana ACPA 1450 Aliipata Oktoba 2006 Ana CPA(T) aliipats November 2002
  15. K

    Pendekezo Chanya: Rais Magufuli aanzishe Mfuko wa Ujenzi Mpya na Maendeleo wa Taifa (MUMT)

    Kwa sasa Serikali inaandaa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2021/22 – 2025/26) kwa kuzingatia matokeo ya tathmini ya utekelezaji wa Mpango wa Kwanza na wa Pili wa Miaka Mitano. Kama mdau, hapa ndiyo sehemu sahihi kwako kuleta hoja zako zilizoshiba ndani ya mpango huu wa awamu ya...
Back
Top Bottom