Recent content by kadakokigondile

  1. kadakokigondile

    Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

    Hivi na hao TICS walitokea wapi? Kuja kuwekeza bandari? Mgekua mnayaweka wazi maana sisi wengine ma mbumbumbu
  2. kadakokigondile

    Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

    Acha waje wawekeze maana wazungu mrusi kisha wafilisi
  3. kadakokigondile

    Kampuni ya AGL Yaingia Mkataba wa Kuendesha Bandari ya Malindi Zanzibar Kwa Miaka 5. Serikali na DP World Mnatufundisha Nini?

    Kwa kweli hata hatuelewi maana kila mtu anasema lake, wengine wanasema huu ni mkataba wa mwanzo tu baada ya makubaliano nini kifanyike ndio utafatia mkataba kamili, wengine wanasema huu mkataba miaka 100, wengine wanasema mkataba wa maisha, wakati bado mazungumzo yana endelea TPA waendelee na...
  4. kadakokigondile

    Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

    Huyu Dr Slaa nilimshauri toka kwanza aige mfano wa kina mzee Malechela wameshastaafu na wamekaa kimya ila kama kuna jambo ndio utawasikia wakiongea tena kwa hekima kubwa, narudia tena Dr Slaa achana na vijana watakuvunjia heshima yako na pengine wanakujua kuliko unavyo jijua wewe mwisho wamesha...
  5. kadakokigondile

    Jussa: Tanganyika kama hamtaki Muungano semeni Tugawane mbao hata sisi tumechoka, ya Bandari yenu sisi hayatuhusu!

    Ukiisoma history in deep Zanzibar ndio nchi ya kwanza kuwa na umeme katika Africa kwa hiyo waliendelea zamani kabla ya nchi nyingine tuwape haki yao kwa hilo, ila ukienda kisiasa mambo yana geuzwa chini juu
  6. kadakokigondile

    Oman Kutoa Ajira Kwa Watanzania. Nauliza Mnataka au Hamtaki Kazi Oman?

    Oman ndio iliyopiga marufuku wa Tz kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdallah Kilima balozi wa Tz. Acha kusikiliza ya mitaani
  7. kadakokigondile

    Oman Kutoa Ajira Kwa Watanzania. Nauliza Mnataka au Hamtaki Kazi Oman?

    Wakenya wanauwana wao kwa wao kuna wale wanaitwa makemboi ndio tatizo kubwa kabisa na tatizo sio warabu, mfollow Susan Elian katika YouTube, sidhani kama utarudia kulaumu waarabu
  8. kadakokigondile

    Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Hawa wana kuja kokomesha upigaji ndio maana wana pigwa vita sana
  9. kadakokigondile

    Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Sio kwa bandari za ulaya tu, sasa wameziingilia club za mpira na Manchester united nayo imepitiwa acha mchezo na pesa, wanachotaka wao walichowekeza kilete manufaa sio bla bla
  10. kadakokigondile

    Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Mwanzoni watu wataona kama ni mzaha, hawa watu sio wa mchezo wewe angalia nchi yao huwezi kuamini kama ni jangwa, hawa wana kuja kuchapa kazi
  11. kadakokigondile

    Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

    Tajiri yangu huyu mzee nilikua namuuzia dhahabu enzi zile kabla hajafungua duka la stendi ya Mwanza, ni mzee ana roho nzuri mkweli na ana msaada sana kama utafanya nae kazi kwa uaminifu
Back
Top Bottom