Kwa sababu raisi wetu mpendwa kavunja marekodi yoke hayo ndani ya wiki mojo, Na haijawahi kutokea hapa duniani, kwa nini tusijenge sanamu kubwa sana kupita zote duniani, na Kila siku kabla ya kazi tukaenda kuimba wimbo wa taifa.
Umaarufu wake umemzidi hata Nyerere, mzee wetu Mwinyi, Mkapa Na...
Yaani kukubalika kwa Magufuli hata Baba wa Taifa Julius Nyerere hajamfikia, yaani hata mzee Ruksa, wala Mkapa wala Kikwete hamfikii raisi wetu mpendwa..
Na kwa vile kawazidi maraisi wote hao, kwa nini asiitwe baba wa taifa?? Au kwa nini tusichonge sanamu kubwa tuiweke pale Askari monument Dar...
Kukumbushia kile JPM alichohaidi kuweka hadharani, wewe unashabikia Ben Saanane "adhibitiwe kwa nguvu yoyote lie kwani ni Audi wa Kiuchumi nakiusalama" kweli na akili zako unaweza kufikiri hao wanaodhibiti ni vilezer kiasi gain?? Kosa gani lips hapo.... au wewe ndio unaetaka watu wamchukie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.