Recent content by kachembeo

  1. K

    Uchaguzi Nyamagana waingia dosari vurugu yanukia

    Acha kuomba poo. mtoto wa kiume, wenje hatasahau kipigo atakachokipata. nyamagana hatuhitaji mbunge msanii Kama huyo
  2. K

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    nyie vijana wa Mchange nyamazeni kenge nyie mnatumika kama kondomu. mwenzenu juzi kaenda China kwa hisani ya singa singa. nyie mnapiga mdomo kwa sh 60000 kwa siku
  3. K

    Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

    Nimeamini wazungu wanaharibu akili za watu sana. nikushauri tu achana na hiyo biashara ya udalali wa Iptl. kwanza wewe ni mtanzania jina tu, ulishauza utanzania wako kwa wazungu. tuache sisi watanzania tunaoumia na ufisadi huo. Eti bunge litii amri ya wezi? nimekudharau sana leo
  4. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Mkuu! Hawa jamaa wanajitahidi sana kumpaka matope mabula lakini, hawatamuweza maana jamaa yuko vizuri sana kiutendaji na hana upendeleo kabisa. Tatizo ni hawa vilaza walifikiri wagenufaika na umeya wa mabula kwa maslahi yao binafsi
  5. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Mkuu degree yake inawahusu nini wananchi wa kawaida anaowatumikia?
  6. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Mkuu! Mtu kununua kiwanja au shamba sio dhambi! Labda uje na hoja nyongine inshusu pengine kudhulumu lkn sio kwa namna unavyotaka wewe kutuaminisha hapa. Mtu yoyote unapopata kazi lazima kazi hiyo pia iendane na wewe kuboresha maisha yako ndio maana halis ya kazi
  7. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Kwahiyo ktk nafasi hiyo ya umeya. Ilitangazwa sifa zake? Unakuja na hisia mkuu zakwako tu? By the way hakuna sehemu madiwani wote wanapobanwa kutoa vyeti vyao. Hivyo bado unakuja na majibu yaliyojaa hisia na chuki binafsi
  8. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Silaha kuu ya mtu mvivu wa kujenga hoja huwa ni matusi. Siamini kama nawewe ni miongoni mwao
  9. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Wewe Mabula humjui, utakuwa unamsikia tu. Mabula tena ana nyumba ilemela na amepangisha na hata kwao nyakato ni maana kuliko nyinyi mnaotelekeza wazazi waenu wanashinda wanapasua mawe, hafu unakuja hapa na povu eti tajiri? Nyoo! Si muwasaidie wazazi wenu kwanza? Mabula yuko sana juzi juzi...
  10. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Kwani sifa za kuwa diwani zinasemaje mkuu? Sasa hapa elimu yake inatusaidia nini? Au mihemko ya kuchanganyikiwa inakunyemelea? Pole sana. Sifa za mgombea udiwani ni kujua kusoma na kuandika kwahiyo usitake kupotosha hapa eti alipeleka cheti cha chuo kuombea uongozi. Jipange kudanganya watu...
  11. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Kwahiyo mtu aliyoko iringa hapaswi kujua juu ya kiongozi wake?
  12. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Wewe ambaye unamashaka na elimu yake. Tuwekee hapa hivyo vielelezo na siyo kupayuka hapa bila evidence
  13. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Mbona unapanick mkuu! Kwahoyo wewe unataka watu wote humu wafikiri kama unavyofikiri wewe? Au unamaanisha nini?
  14. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Wewe kweli unaonekana ni kilaka kabisa. Unashindwa hata kujenga hoja? Jenga hoja unishawishi kuamini kile unachokiamini wewe. Siyo kuja hapa na mipasho kama hiyo, by the way siwezi kuendelea kubishana na msukule unaotembea mimi.
  15. K

    Meya jiji la Mwanza ashitakiwa kwa wizi na kugushi sahihi!

    Mkuu inaonyesha kiasi gani ulivyo mtupu up stair! Kuna mada zingine sio lazima nawewe uchangie. Hata kuona tu inakutosha, umeandika nini sasa? Maneno ya vijiweni kabisa ndo nawewe unayaleta hapa... Mabula hata sisi huku iringa tunamsikia kuwa mzuri sana huyo meya
Back
Top Bottom