Recent content by kabyse

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    anakubeep mpigie kupitia hiyo line
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania bara - zanzibar kumiliki ardhi

    hili suala la umiliki wa ardhi ni tatizo, nilisikia bungeni siku moja wakiliongelea wabunge wao walilitetea wakidai ardhi kule ni finyu inawatosha wao tu, wakisema wapewe na wabara itakuwa issue
  3. K

    JamiiForums Tanzania ufunguzi wa udiwani sombetini

    ni mdudu hatari anayenyevua watu wenye akili kama za kwako, yupo kingdom nyevua umenipata??
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Sombetini

    Nawatakia ufunguzi mwema, amani itawale kipindi chote cha kampeni
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuongeza adhabu kwa Magazeti Yaliyofungiwa

    habari hiyo ni kweli wala si porojo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    hakuna muhindi mzalendo nchi hii , hapa ni sehemu ya kuchuma tu, kwao ni india na canada
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    duh ni balaaa
Back
Top Bottom