Recent content by kabwera

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

    Vita ikishakuwa ya Muda mrefu yule dhaifu anajenga Sugu anakuwa hana cha kupoteza tena. Mfano ni shambulio lipi Russia hajalifanya pale Kiev? Target zote muhimu kafanya lakini kwa hali ilivyo Waukrein wamezoea wakajenga Usugu kuwashinda labda uangamize nchi nzima. Kosa hilo hata USA kalifanya...
Back
Top Bottom