Recent content by Kaburia

  1. K

    JamiiForums Mgomo wa madaktari una ajenda ya siri?

    Tatizo sio miundombinu kwa sasa.wanagoma kwa sababu hawana motisha na wanajisikia vibaya pale wanapo ambiwa kazi za huduma ni wito na sio masilahi wakati sekta nyingine wanapeta. Tuwaonee huruma
  2. K

    JamiiForums Mgomo wa madaktari una ajenda ya siri?

    Nakubaliana na mchango wa ndugu yetu Nyetk kwa sehemu kubwa lakini kwamba mgomo huu unasimamiwa na madaktari bingwa sio sahihi. Tungesema madaktari bingwa nao wanaukubali mgomo huu kwani nao watapata stahili zao utatuzi wa matatizo wa madaktari kwa ujumla utakapozaa matunda. Madaktari bingwa...
Back
Top Bottom