Kuna mmoja ana maisha ya kuunga unga hapa mtaani mdangaji,alitaka mtaji nikamuahidi kumpa basi nilipata shida Kila saa simu,mungu jalia nikapata nikampa kilichofuatia hakuna biashara wala nn ni mwendo wa vijora kumbe bhana ni muuzaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.