Sihitaji picha kuthibitisha nimevutika nazan tukiwasiliana tutambua na kujua kama nimekidhi vigezo vyako ila tambua kwa hicho cha umri nimekitmiza bila shaka
Njaa inahitaji chakula kupungua amakuisha kwa mda huo but unabadilisha chakula kutokana hamu uliyo nayo ndio maana mtu leo nyama ya ngombe kesho mbuzi mara kitimoto au kondoo nyama ile ile but hamu imetaka ubadilishe tu
Endeleea kuwachukia wanaume wao wataendelea kula chakula kwa kuwabadlisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.