Recent content by KabelindeDidier

  1. KabelindeDidier

    Kuchelewa kwa selection za TCU na bodi ya mikopo

    yaaaah jamaa yuko sahiii mikopo had mwez wa kumi na moja mwanzoni huo ndio habar nyie mnataka source watu wengine wana baba zao na ndugu zao wanafanya huko jamen sasa mnataka. taarifa official kivip wakat kama ndugu yake anafanya huko asikwambie ww unataka official habar ndio hyo TCU mwez wa...
  2. KabelindeDidier

    udsm; NI KWELI WALIO CHAGULIWA UDSM WAMEANZA KURUSHIWA MAJIBU YAO KUPITIA E MAIL ZAO?

    kabla ya tcu kutoa majina official vyuo vinatoa majina ya watu waliochaguliwa kwahyo angalien kwenye website za vyuo husika vingine vimeanza kurelease majina toka jana
  3. KabelindeDidier

    Wadau wa Kampala University tukutane hapa

    jaman mna mioyo migumu sanaaaa kuelewaaaa eti eheeee chuo kimetangazwaaa sanaa hicho kibovu mabaraza yote yamegoma kusajil mpaka sasa nyie mnajidai mnakijua kiu kuliko sis ambao tumesoma pale tukaacha wakati hata majengo huyajuiii hayaaaa ww bishaaa nenda bana tutaona utasajiriwaa na nan hapa...
  4. KabelindeDidier

    Second Round Application TCU

    ww siujiulizeee swali kwann hvyo vyuo had sasa havijapata watu wakati watu waliofaulu ni weng hivyo vyuo ni vibovu sanaa mm nimesoma KIU na nimeacha matatzo kibaoooo mtajutaaaa ila nendaaa maaana mnaweza sema tunawabania nendeni kwann watu wasiviseme vyuo vingine kama muhas cuhas kcmc au...
  5. KabelindeDidier

    Second Round Application TCU

    nacte subirin msipanic hao waliopata vyuo ni BRN nacte badoo lakn wamesema week hii watatoa mwishoni au next week tuliza mzuka kijanaaa
  6. KabelindeDidier

    Second Round Application TCU

    Na mm nasupport st joseph sio chuo ni genge la wahuni kutoka india wamekuja kupiga pesa kwa watu wa Tz hawana elimu pale hata kama kinaanza mm nina watu pale campus mpya badooo sanaaa....ila kama hutak nenda utajionea na KIU pia hvo vyuo ni uozoo mtupu vyote sasa ukibisha wakati ww husomi hapo...
  7. KabelindeDidier

    Wale wa nacte

    degree bado had nxt wk mm niko na mtu nacte kasema had nxt wk tulien
  8. KabelindeDidier

    CAS is now open for 2nd round applications only

    0714796303 niunge kwenye group
  9. KabelindeDidier

    Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    hakuna cha clinical medicine wala officer yaani inshort course zote kuanzia certificate had bachelor kwa upande wa afya hazitambuliki
  10. KabelindeDidier

    Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    ambao wanakomaaa et sis tunadanganya bas chagueni ndio mtaona balaa lenu la kusoma bila ajira na huwez kuhudumia mtu yeyote kwa elimu ya Kampala International University aisee nawaambia uliza na fuatilieni usiambiwe halafu unabisha tu bila fact wakati haupo pale chuoni na wala haujawah kusoma...
  11. KabelindeDidier

    Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Ila wananchi mzidi kuelewa kabsa kuwa Kampala international University ni chuo cha matapeli tu na vigogo wa serikali na kama unabisha kasome ww unayebisha au mpeleke mwanao au ndugu yako akasome kama unaona ss tunafanya siasa ili ujiridhishe vzr lakn kama hunilipii karo huwez kunambia eti nirud...
  12. KabelindeDidier

    Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, kampasi ya Arusha

    komaeni ila bora nyie mmesajiriwa kuliko Kampala
  13. KabelindeDidier

    Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    nakwambia yaaaan hawa MD hawajielewi lakn pia wako pharmacy na lab wengine hawajielew kabsa wamevurugwaaaaaaa
Back
Top Bottom