Recent content by Kabaka Mutesa

  1. K

    Sipendi mchumba wangu avae kanga

    muoe huyo mchumba wako halafu mpe hayo masharti na mahitaji yako
  2. K

    Hivi ni kwanini wanawake wengi hujivunia sana makalio yao?

    tofauti ni kubwa kukalia kigoda na sofa, it`s all about confortability.
  3. K

    'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

    sawa kwa taarifa, ila umefikiria upande mmoja tu kama akishindwa kulipa deni, hebu sasa fikiria na toa ushauri afanye nini aweze kulipa deni.
  4. K

    Natafuta mwekezaji katika shughuli za Advertising, Sales and Marketing

    Habari wakuu, Mimi ni kijana miaka 29 mjasiriamali, mkulima na mfanya biashara ndogo ndogo. Elimu yangu ni BA Accounts and Finance 2011. Nipo katika hatua za mwisho kusajili kampuni itakayo kuwa inafanya shughuli za Advertising, Sales and Marketing huduma hasa ni Outdoor advertising, Brand...
Back
Top Bottom